|
|
comments (1)
|
Ati wewe ni mjinga hadi uliomba charger ulipoenda kusajiliwa - "iko wapi charger ya hii electronic votingcard ama inatumia solar"
We unanuka, mpaka ukipita karibu nachoo inajiflash
we ni mnono wasee huku-add asgroup kwa facebook
Una kichwa bigi ukiinama unapigasama
ati wewe ni mkonde hadi ukidungat-shirt ya safcom unkaa ka simcad
wewe una kichwa kubwa hadi uki ingiandai una-show-...
Read Full Post »|
|
comments (4)
|
wee ni mweusi mpaka ukikutana na mzungu afte anakushow," good evening."
.Wewe mweusi mpaka ukirushiwa mawe inarudi kuitisha torch
Wewe mgondi mpaka ukishikilia ten bob Moi anabaki na vest
una lips bigi mpaka badala ya kutumia lip-balm unatumia roll-on
Ati hao yenu ni ndogo hadi ukitakakufikiria unatoka nje
.Wewe mweusi mpaka ukirushiwa mawe inarudi kuitisha torch
Wewe mgondi m...
Read Full Post »|
|
comments (5)
|
Kwenyu mko wengi mpaka mkipika Chapo mnazi-photocopy ndio zitoshe.
Kwenyu mko wengi mpaka kuna roll call mkiamka namkilala.
Kwenyu ni wengi mpaka mkifungua mlango asubuhi mnamwagika nje.
Kwenyu hamna choo, mnatuma wageni msituni na jembe.
ati Kwenyu ni kuchafu mpaka mende zinavalia slippers.
Shagz za kwenyu ni-dry mpaka ng’ombe ukamuliwa milk-powder
kwenyu nyinyi...
Read Full Post »